On 11:57 AM by AFRIKA SHANGWE   No comments
     

WizKid ni kati ya rappers wanaotokea Africa na amepata nafasi ya kukutana na kufanya show na wasanii wa kubwa duniani akiwemo Chriss Brown ila tukirudi kwenye hiyo video yake inaonyesha hafanyi kama yeye ila anafanya kama watu fulani kwasababu ukicheki video utaona swagga nyingi za Kanye West na Kendrick Lamar

0 comments:

Post a Comment