On 11:53 AM by AFRIKA SHANGWE   No comments

 Ukitaja tano bora ya wasanii wazuri wa bongo flava wanaopeleka muziki wa bongo katika level nyingine bila kumtaja Diamond Platinumz basi wewe sio mdau au mfuatiliaji wa muziki, kama unavyoona bonge moja la video na collabo nzuri sana big up zieende kwao Diamond na Davido

0 comments:

Post a Comment