On 4:01 AM by AFRIKA SHANGWE No comments
Rapper gwiji katika rap game industry huko nchini Marekani, Sean Carter AKA Jay Z wakati akiwa katika moja ya Tour yake ya Magna Carter Holly Grail katika mji wa Greensboro, N.C January 5 … alipendezwa na tukio ambalo alilifanya shabiki wake mwenye umri wa miaka 12 tu katika kundi la watu waliokuwa wakimtazama rapper huyo akikamua on stage.
Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 12 aliyejitambulisha kwa jina la Justin mara baada alipoitwa na Jay Z katika stage, alikuwa ameshikilia Bango kubwa lililoandikwa Can I Rap for You? akiwa katika kundi la mashabiki katika concert hiyo na ndipo rapper Jay Z alipomuona na kuamua kumuita mtoto Justin on stage na kisha kushare nae Mic.
Mtoto Justin alivyokabidhiwa Mic na rapper Jay Z ndipo alipoanza kushuka rhymes za rapper huyo za kwenye wimbo wa Clique na baada ya kumaliza kuchana, mtoto huyo alimuomba Jay Z kama wataweza kukutana Back stage baada ya show, na ndipo rapper Jay Z akamkubalia na kumwambia ni lazima akutane naye kwa sababu hata yeye anakitu anataka kumpa Justine.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
.
Hot Posts
-
ARTIST -Joh maker ft Stamina SONG - wanasemaje STUDIO - Kwanza records PRODUCER - Vennt skillZ SONG WRITER - Joh maker and...
SHXNGWE. Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment