On 9:04 AM by AFRIKA SHANGWE No comments
Nick Minaj na cameron Diaz wataonekana katika filamu pamoja, filamu hiyo inaenda kwa jina la "THE OTHER WOMAN". Onika Tanya Maraj maarufu kama Nick Minaj ameigiza kama msaidizi wa Cameron Diaz kwenye filamu hiyo. Filamu hiyo ni ya vichekesho iliyoongozwa na NickCassavetes na kuandikwa na Melissa Stack.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
.
Hot Posts
-
ARTIST -Joh maker ft Stamina SONG - wanasemaje STUDIO - Kwanza records PRODUCER - Vennt skillZ SONG WRITER - Joh maker and...
SHXNGWE. Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment