On 4:22 AM by AFRIKA SHANGWE   No comments

  Toleo jipya la vibe magazine litakuwa mtaani jumatatu hakikisha umejipatia nakala yako ya VBETZ jumatatu hii tarehe 23-12-2013 kama unavyomuona mwanadada Wema Sepetu alivyong'aa nakutoka tofauti ni cover nzuri sana Big up kwa VIBETZ kazi nzuri sana. Kwa habari zaidi tembelea www.vibe.co.tz

0 comments:

Post a Comment